LA LIGA 2015/2016:-Huu ndio Msimamo wa Ligi baada ya FC Barcelona,Real Madrid,Atletico na Valencia kucheza December 05,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 06, 2015

LA LIGA 2015/2016:-Huu ndio Msimamo wa Ligi baada ya FC Barcelona,Real Madrid,Atletico na Valencia kucheza December 05,2015.

Suarez had an eventful evening being closely marked by Valencia defender Aymen Abdennour and he got the better of him for the goal
Mabingwa watetezi na  Vinara wa La Liga -2015/2016 FC Barcelona hapo jana Desember 05,2015 wametoka sare wakiwa  huko Estadio Mestalla walipotoka Sare ya  1-1 na Valencia iliyoshuhudiwa na Meneja wao mpya Gary Neville aliekuwa Jukwaani.

 Bao la Luis Suarez la dakika ya 58 liliwatanguliza Barcelona lakini Valencia kupitia kwa kinda wao Santiago Mina alisawazisha katika Dakika ya 86 na kuufanya Uwanja wote wa Mestalla uinuke kwa furaha.
Barcelona's Brazilian defender Dani Alves (left) vies with Valencia's defender Jose Gaya as both sides looked to record victory on Saturday
Mapema , Real Madrid iliichapa Getafe Bao 4-1 kwa Bao za Kipindi cha Kwanza za Karim Benzema, Bao 2, Gareth Bale na Cristiano Ronaldo huku Bao la Getafe likifungwa Dakika ya 70 na Alexis Ruano Delgado.

Atletico Madrid waliifunga Granada 2-0 kwa Bao za Diego Godin na Antoine Griezmann na kubaki Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2 nyuma ya Barcelona na Pointi 2 mbele ya Timu ya 3 Real.

Valencia wapo Nafasi ya 7.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad