AJALI /PICHA:-Kona yamshinda Dereva na kusababisha Ajali-Kidahwe-Simbo Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 06, 2015

AJALI /PICHA:-Kona yamshinda Dereva na kusababisha Ajali-Kidahwe-Simbo Kigoma.

Baadhi ya mashuhuda na Ndugu waliokuwema katika gari aina ya Land Cruiser Prado pichani lenye namba za usajili T 494 AAS  wakiliangalia kwa karibu  katika ajali iliyotokea hivi karibuni katika eneo la mlima Kidahwe kutoka Simbo, njia ya Kigoma.....Inaelezwa hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo  na watu wote walitoka salama huku chanzo cha ajali kikielezwa ni dereva kushindwa kulimudu katika kona.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad