VPL 2015 / 2016:- Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara leo October 03,2015....yapo hapa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 03, 2015

VPL 2015 / 2016:- Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara leo October 03,2015....yapo hapa.



Mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara ziliendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Tanzania, licha ya kuwa kuna mechi tatu ambazo zimeharishwa kutokana na wachezaji wake wengi kuitwa katika kambi ya timu ya Taifa inayojiandaa na mchezo dhidi ya Malawi, October 3,2015 imepigwa baadhi ya michezo ya Ligi Kuu.

DSC_0145[1]

Mechi ambazo zimechezwa Jumamosi ya October 3 katika viwanja mbalimbali Tanzania ni mechi ya Maji Maji FC dhidi ya Mwadui FC katika uwanja wa Maji Maji Songea, Mwadui FC ambayo inanolewa na kocha Jamhuri Kiwelu imeibuka na ushindia wa jumla ya goli 1-0 dhidi ya mwenyeji wake Maji Maji FC.
DSC_0146[1]

Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna timu iliyofanikiwa kuona nyavu za mwenzake, dakika ya 56 kipindi cha pili Jabir Aziz akaiandikia goli Mwadui FC ya Jamhuri Kiwelu, goli ambalo lilidumu katika dakika zote tisini za mchezo na kuifanya Mwadui FC kuondoka na point tatu muhimu dhidi ya Maji Maji FC.
Matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu zilizopigwa October 3
  • Mgambo Shooting 0 – 0 Coastal Union


DSC_0115[1]
DSC_0124[1]
DSC_0143[1]
DSC_0153[1]
DSC_0159[1]
DSC_0163[1]
DSC_0171[1]
DSC_0179[1]
DSC_0183[1]
DSC_0198[1]
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad