
![]() |
|
Hata hivyo
mechi imemalizika kwa klabu ya Chelsea kukubali kupokea kipigo cha goli 3-1 na
kuendelea kuweka mashakani kibarua cha kocha wao Jose Mourinho. Magoli ya
Liverpool yalifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 45 na 74 huku Christian
Benteke akikamilisha goli la tatu dakika ya 83, Chelsea walipata goli la
kufutia machozi dakika ya 4 ya mchezo kupitia kwa Ramires.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|








No comments:
Post a Comment