AJALI/PICHA :-Hii nayo ni Ajali ila hakuna Madhara kwa Binadamu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 03, 2015

AJALI/PICHA :-Hii nayo ni Ajali ila hakuna Madhara kwa Binadamu.

Hii ni moja ya  ajali iliyotokea maeneo ya vigwaza October 01,2015, alfajili gari aina ya scania 124 liliachanjia na kugonga nyumba ya kulala wageni nakuingia Mpaka ndani,ila hakuna madhara kwa binadamu.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad