SHERIA YETU:-Taswira Picha tazama wakati Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka leo September 21,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 21, 2015

SHERIA YETU:-Taswira Picha tazama wakati Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka leo September 21,2015.

September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.

Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo September 21,2015, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.

Mbasha alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumbaka shemeji yake mwenye umri wa miaka 17.

Muda mfupi baada ya hukumu hiyo kutolewa, Mbasha alipiga magoti mbele za watu na kumshukuru Mungu huku akitokwa na machozi ya furaha.


PICHA NA MILLARDAYO.
Screen Shot 2015-09-21 at 11.58.58 AM
Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa.

Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.

Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.05 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.12 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.36 AM
Mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha akitoka nje ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam leo,September 21,2015.
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.21 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.28 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.42 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.49 AM

Screen Shot 2015-09-21 at 11.59.57 AM
Screen Shot 2015-09-21 at 12.00.02 PM
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad