KAMPENI UBUNGE NGARA 2015:-Matukio tofauti ya mikutano ya Dr Petter Bujari mgombea CHADEMA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 10, 2015

KAMPENI UBUNGE NGARA 2015:-Matukio tofauti ya mikutano ya Dr Petter Bujari mgombea CHADEMA.

Kama ilivyokuwa katika maeneo mengine aliyopita Mgombea Ubunge Jimbo la Ngara kupitia CHADEMA/UKAWA- Dr Petter Bujari  ameendelea kupata mapokezi makubwa ya wananchi katika maeneo ya Keza na Kata ya Nyakisasa wakitaka kusikia sera na jinsi wanavyoweza kuondokana na matatizo yanayowakabili.







Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad