AJALI / PICHA:-Taswira Picha Abiria wakinusurika kupata ajali ya Basi wilayani Nzega baada ya Gurudumu la mbele kupasuka. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, September 02, 2015

AJALI / PICHA:-Taswira Picha Abiria wakinusurika kupata ajali ya Basi wilayani Nzega baada ya Gurudumu la mbele kupasuka.

Muonekano wa Gurudumu la mbele la basi la Coast Line linalofanya safari zake kati ya Mkoa wa Arusha - Tabora na Mpanda kupasuka likiwa katika mwendo na Dereva wa basi hilo aliweza kulimudu gari na kusimama.

Tukio hilo limetokea jana September 01,2015 katika kijiji cha Busanda wilayani Nzega mkoani Tabora.




Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad