AJALI / PICHA:-Taarifa za ajali ya basi la NEW FORCE mkoani Njombe. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 01, 2015

AJALI / PICHA:-Taarifa za ajali ya basi la NEW FORCE mkoani Njombe.

Ajali ya basi hili la New force imetokea August 30,2015 na kulihusisha basi lenye namba za usajili T 426 BEU ( pichani ) aina ya YOU TONG ikiendeshwa na Dereva Yahaya ambaye alikimbia baada ya ajali,ajali hii ilitokea maeneo ya Igominyi km 20 toka mjini Njombe kwenye kona ambapo gari ilimshinda Dereva huyo na kusababisha kuanguka barabarani na kusababisha vifo vya watu wawili jinsia ya kike na majeruhi watano akiwepo Dereva wa PILI aitwae Fadhili.

Taswira picha ya basi hilo la New force iliyoanguka August 30,2015 mkoani Njombe.

PAPO KWA PAPO Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad