Chama cha Upinzani cha
ACT-Wazalendo kimemtangaza Mwenyekiti wake Mama Anna Elisha Mghwira (Pichani
kushoto) kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya chama hicho katika
mkutano mkuu uliofanyika jana August 20, 2015 jioni , huku mgombea mwenza akiwa
ni Bw.Hamad Mussa Yusuph (Kulia), mzawa wa Visiwani Zanzibar.
ACT-Wazalendo kinakuwa ni
chama cha kwanza nchini Tanzania kusimamisha mgombea urais mwanamke katika
historia ya siasa.PICHA KWA HISANI YA MILLARDAYO.
|
Kitila Mkumbo akizungumza na wanachama. |
Kiongozi wa
ACT- Wazalendo,Bw. Zitto Kabwe akiongea na Wanachama.
|
No comments:
Post a Comment