![]() |
|
Baada ya miaka 13
ya matumizi ya jezi za Nike kwa klabu ya Manchester
United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika
msimu wa 2015/2016. Man United watatumia jezi zitakazokuwa
zinatengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya ADIDAS
kutoka Ujerumani.
Man United wamesaini mkataba wa miaka 10 na kampuni ya
vifaa vya michezo ya ADIDAS, mkataba wenye thamani ya pound
milioni 750 na sasa wataanza kutumia jezi za kampuni hiyo.
CHANZO
CHA STORY HII>>>MILLARDAYO.COM
|
![]() |











No comments:
Post a Comment