PICHA / AJALI:- Wawili wafariki papo hapo baada ya Lori aina ya Fusso kupata ajali eneo la Senjele. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 04, 2015

PICHA / AJALI:- Wawili wafariki papo hapo baada ya Lori aina ya Fusso kupata ajali eneo la Senjele.

Ajali hii imetokea usiku wa saa 6,leo mAgosti 04,2015 katika eneo la Senjele, Mbozi  ambapo watu wawili wamekufa papo hapo ,ilikuwa ikitokea Sumba wanga kuelekea Dar es Salaam ikiwa imebeba magunia ya ulezi.


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad