PICHA / AJALI:- Wawili wafariki baada ya basi la kampuni ya SB EXPRESS na NOAH kugongana uso kwa uso wilayani Kilwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 04, 2015

PICHA / AJALI:- Wawili wafariki baada ya basi la kampuni ya SB EXPRESS na NOAH kugongana uso kwa uso wilayani Kilwa.

Ni Ajali eneo la Mavuji wilaya ya Kilwa ,basi la kampuni ya SB EXPRESS na NOAH kugongana uso kwa uso , watu wawili wamefariki. Chanzo Moshi toka shambani ulizuia uoni dereva wa basi akasimama kusubiri. Dereva wa noah akiwa speed akapita kusiko kwake kukwepa moshi ndio ikawa uso kwa uso.

 Tazama Picha zaidi za ajali hiyo hapa.







Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad