Unene
na uzito uliozidi ( Obesity ) ni miongoni
mwa vyanzo na visababishi vikuu vya
tatizo la ukosefu na upungufu wa
nguvu za kiume.
Kwa
mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu,
asilimia kubwa ya wanaume wenye unene na
uzito uliozidi, wanakabiliwa na tatizo la
ukosefu na upungufu wa nguvu za
kiume.
KWANINI
WANAUME WENYE UNENE NA UZITO ULIOZIDI
WANAKABILIWA NA HATARI KUBWA YA KUPATWA
NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Wanaume
wenye uzito na unene uliozidi wapo katika
hatari kuu ya kupatwa na tatizo la
ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume
kwa sababu kuna uhusiano mkubwa kati ya
unene/uzito uliozidi pamoja na tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume.
Kama
tulivyo elezea katika makala zetu za nyuma,
SUALA LA NGUVU ZA KIUME NI SUALA LA
KIMFUMO. Mfumo wa nguvu za kiume
unahusisha ogani mbalimbali katika mwili wa
mwanadamu.
Ili
mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za
kiume, ni lazima ogani zote zinahusika
katika mfumo, ziwe imara na zenye afya
njema, na pia ni lazima ziwe na
ushirikiano imara.
Kudhoofishwa
kwa ogani moja wapo kati ya ogani
hizo kutasababisha mhusika apatwe na tatizo
la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu
za kiume.
Kwa
kukumbushia tu, mambo makuu muhimu katika
mfumo wa nguvu za kiume yapo matano
ambayo ni...
1.
Ubongo imara na wenye afya njema
2.
Mishipa imara ya kusafirishia damu mwilini
3.Mfumo
imara na wenye afya wa usafirishaji damu
mwilini.
4.4.Mishipa
na misuli ya uume iliyo imara na
yenye afya njema
5.5.Pamoja
na uhusiano imara na wenye afya kati
ya mishipa ya fahamu iliyo katika ubongo
( nerves),mishipa ya kwenye uti wa mgongo (
spinal cords ) pamoja na mishipa & misuli ya
kwenye uume.
Sasa
basi, hitilafu yoyote katika mojawapo kati
ya mambo matano tajwa hapo juu, itamfanya
mhusika apatwe na tatizo la ukosefu
na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
UNENE
NA UZITO ULIOZIDI UNA SABABISHA VIPI
TATIZO LA UKOSEFU NA/AMA UPUNGUFU WA
NGUVU ZA KIUME.
Kwa
lugha nyepesi na yenye kueleweka kwa kila
mtu, mtu mwenye unene na uzito uliopitliza,
maana yake ni kwamba ana mafuta , sukari
na kolestrol nyingi katika damu yake.
Kwa
maana nyingine, ni kwamba kama wewe una
unene uliopitiliza, maana yake ni kwamba, ogani
zilizomo ndani ya mwili wako zinaogelea
katika mafuta yaliyomo ndani ya mwili wako.
1.
Kolestrol nyingi katika damu, huathiri mfumo
usafirishaji damu katika mishipa ya inayo
tumika kusafirisha damu katika sehemu
mbalimbali za mwili ikiwamo katika mishipa
ya kwenye uume. Matokeo yake basi , kolestrol
hiyo husababisha kuziba kwa ateri ambayo
ndio njia itumikayo kupeleka damu katika
mishipa na misuli ya kwenye uume, na
kama damu haitaweza kusafirishwa hadi
kwenye mishipa ya kwenye uume, maana yake
ni kwamba, mwanaume huyo hatokuwa na uwezo
wa kusimamisha uume wake kwa sababu, damu
ndio inayo ufanya uume uweze kusimama.
2. Kama
ilivyo kwa kolestrol, sukari na mafuta
mengi katika damu huathiriki utiririkaji wa
damu mwilini na hivyo kufanya vigumu
damu kutiririka kuelekea kwenye mishipa na misuli
ya uume ambayo ndio inahusika na
kuufanya uume usimame.
3.
Unene na uzito uliopitiliza una uhusiano
mkubwa sana na ugonjwa wa kisukari. Na
ugonjwa wa kisukari nao una uhusiano mkubwa
na tatizo la ukosefu wa nguvu za
kiume, kwa sababu unaathiri mfumo mzima wa
nguvu za kiume kama ifuatavyo :
Kwanza;unashambulia na kudhoofisha mishipa ya
ubongo na kuifanya ishindwe kuwa na
uhusiano mzuri na mishipa ya kwenye
uti wa mgongo, pamoja na mishipa na
misuli ya kwenye uuume.
Pili
unashambulia na kudhoofisha mishipa ya usafirishaji
damu mwilini na tatu unasababisha kudhoofika
kwa ogani muhimu katika mwili wa mwanadamu
kama vile figo.
Hivyo
basi, mwanaume mwenye unene na uzito ulio
zidi, yupo katika hatari kubwa sana ya
kupatwa na tatizo la ukosefu na/ama
upungufu wa nguvu za kiume, kuliko inavyo
weza kufikiriwa.
4.
Unene na uzito uliopitiliza una uhusiano
mkubwa na tatizo la shinikizo la
damu. Kwa lugha nyingine ni kwamba, watu
wanene wapo katika hatari kubwa sana
ya kupatwa na tatizo la shinikizo la
damu,. na tatizo la shinikizo la damu
nalo lina uhusiano mkubwa sana na
tatizo la ukosefu na upungufu wa
nguvu za kiume.
Shinikizo
la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo
hutiririsha damu iingiayo kwenye uume
kuziba na kushindwa kutanuka kwa kiwango
inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume
kushindwa ku-relax na hivyo kushindwa kuizuia
mishipa ya vena ya kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye maeneo mengineyo ya
mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha
damu iingiayo kwenye uume na hivyo
kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile
vile hata kiasi kidogo cha damu
kinacho ingia kwenye uume, kinashindwa kuendelea
kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume ukiwa
umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa
ndani ya kipindi kifupi sana tangu usimame.
Kama
hiyo haitoshi, tatizo la unene na uzito
kupita kiasi lina weza kupelekea mhusika
kupatwa na magonjwa ya presha na
moyo ambayo nayo yanachangia tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume kwa kiasi
kikubwa sana.
SULUHISHO
LA TATIZO NI NINI?
Kama
wewe ni mwanaume mwenye tatizo la
unene na uzito ulio zidi, unapaswa kufanya
mambo yafuatayo:
i. Kupunguza
kolestrol mwilini: Unaweza kupunguza kolestrol
na mafuta mengi mwilini kwa kufanya
mazoezi na diet ama kwa kutumia
dawa mbalimbali za asili ama vyote
kwa pamoja.
ii.
Unapaswa kupunguza unene na uzito : Unaweza
kupunguza unene na uzito kwa kutumia
mazoezi na diet ama kwa kutumia dawa
asilia ya MKATAA KITAMBI ambayo inasaidia
sana kupunguza mafuta mwilini, kupunguza unene
na uzito.
TIBA
ASILIA YA NGUVU ZA KIUME KWA WANAUME
WENYE UNENE & UZITO ULIOZIDI.
Kwa
mwanaume mwenye unene & uzito uliozidi
ambaye pia ana sumbuliwa na tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume, anashauriwa
kutumia dawa zifuatazo kwa pamoja
1.
Dawa ya kuondoa kolestrol na mafuta
mengi kwenye damu.
2.
Dawa ya kupunguza unene na uzito
pamoja na
3. Dawa
asilia ya nguvu za kiume iitwayo JIKO
ambayo inatibu na kuponya kabisa tatizo
la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za
kiume ndani ya siku thelathini tu.
Dawa
ya JIKO inapatikana kwa gharama ya
SHILINGI ELFU THEMANINI.
Dawa
ya JIKO pamoja na dawa za kuondoa
kolestrol & mafuta mwilini, kupunguza unene
na uzito zinapatikana katika duka la
kuuza dawa asilia la NEEMA HERBALIST
& NUTRITIONAL FOODS CLINIC lililopo
jijini DAR ES SALAAM, katika eneo la
TABATA MAKOKA karibu na Shule ya
Sekondari ya Mt. ANNUARITE.
WASILIANA
NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83
84.
Kwa
wateja waliopo jijini DAR ES SALAAM, ambao
hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu,
watapelekewa dawa mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa
wateja wa ZANZIBAR watatumiwa dawa kwa
njia ya boti.
Kwa
wateja wa mikoani, watatumiwa dawa kwa njia
ya MABASI na
Kwa
wateja wa ughaibuni, watatumiwa dawa kwa
njia ya POSTA au DHL.
Kwa
taarifa zaidi kuhusu tiba asilia ya
magonjwa mbalimbali, tembelea kila siku :-
www.neemaherbalist.blogspot.com
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Tuesday, August 04, 2015
Home
DONDOO
FAHAMU UHUSIANO ULIOPO:- Kati ya Unene na Uzito Uliozidi (OBESITY & OVERWEIGHT ) Na Tatizo la Ukosefu / Upungufu wa Nguvu za Kiume.
FAHAMU UHUSIANO ULIOPO:- Kati ya Unene na Uzito Uliozidi (OBESITY & OVERWEIGHT ) Na Tatizo la Ukosefu / Upungufu wa Nguvu za Kiume.
Tags
# DONDOO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
DONDOO
Labels:
DONDOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment