KURA ZA MAONI UBUNGE CCM 2015:-Matokeo ya kura Majimbo ya mkoa wa Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 02, 2015

KURA ZA MAONI UBUNGE CCM 2015:-Matokeo ya kura Majimbo ya mkoa wa Kagera.


Historia.

Mkoa wa Kagera una majimbo tisa ya uchaguzi ambapo wabunge wawili tu wametangaza kung’atuka ambao ni Bw.Deogratias Ntukamazina wa Jimbo la Ngara na Bw Esutace Katagira wa jimbo la Kyelwa.

Balozi Khamis Kagasheki, Pichani-kashinda kwa kura-6971

 Wagombea kwa kila Jimbo

Bukoba Mjini:

Wagombea walikuwa ni

1:Balozi Khamis Kagasheki,-kashinda kwa kura-6971
2:Bw.George Rubaiyuka –kura 113
3:Bw. Josephat Kaijage –kura  71
4:Bi.Elieth Projestus – kura 19
5: Dr.Anathory Amani- kura -944
6:Bw.Philbert Katabazi –kura 34
7:Bw.Mujuni Katarahiya –kura 53
8: Bi.Celestina Rwezaura –kura 29

BukobaVijijini

Wagombea  walikuwa ni

1:Bw.Jasson Rweikiza –Kashinda
2:Bw. Nazir Karamagi
3:Bw.Nelson Itagasa.

Muleba Kaskazini

Wagombea ni

1: Charles Mwijage –Kashinda.
2: Bw.Ambrose Nshala.

Muleba Kusini

Wagombea ni

1:Profesa Anna Tibaijuka –Kashinda
2:Dr Adam Nyaruhuma,
3:Bw.Stivin Tumaini,
4:Bw.Flavius Kahyoza,
5:Mhandisi Buruani Rubanzibwa,
6:Muhaji Bushako
7:Kaino Mendesi
8: Bw. Erick.

Jimbo la Ngara

Wagombea ni

1:Syprian Gwassa
2:Dr Philemon Rugumiliza,
3:Bi.Helen Adrian
4:Bw.Wilbald Ede
5: Bw.Alex Gashaza, Kashinda kwa kura 10,817
6:Bw.Jelard Muhile,
7:Johakim Nchunda ,
8:Bw.Issa Samma
9: Bw.Ladslaus Bambanza.....BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KURA ZAIDI

Jimbo la Nkenge

Wagombea

1:Asumpta Mshama kura -5273
2:Diodorous Kamala Kashinda kwa kura -8229
3:Dr Mazima kura -2329
4:Bw Frolent Kyombo kapata kura -5429
5:Bw Julius Rugemalira kura -5201
6:Bw Nyagwa kura -  671.

Jimbo la Kyerwa

Wagombea ni .

1.Innocent Seba Bilakwate,
2.Stephano Edward Katemba
3.Lameck Chacha Ng’ang’a
4.Norbeth Kobwino
5.Sinsibath Kashunju Runyogote
6.Pancrace Shwekelela
7.Awaam Ahamada Ngalinda

Jimbo la Karagwe.

1.Mwalimu Dagobati Deogratias
2.Audax Christian Rukonge
3.Innocent Luga Bashungwa
4.Gosbert Begumisa Blandes
5.Alfred Rujwahuka
6.Amoni Chakushemeire Eustad
7.Karimu Amri
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad