![]() |
|
Ufaransa August 1 umepigwa mchezo wa Fainali ya Super
Cup kati ya klabu ya Paris Saint Germain (PSG) dhidi
ya klabu ya Olympique Lyonnais, mchezo uliopigwa katika dimba
la Stade Saputo na klabu ya PSG kuibuka
mabingwa wa kombe hilo baada ya kuifunga Olympique goli 2-0 Serge Aurier dakika ya 11 akipachika goli la
kwanza huku goli la pili likiwekwa wavuni na
Edson Cavani dakika ya 17.
Hapa chini Nimekusogezea
pichaz zote kwa hisani ya Millardayo.com
|



















No comments:
Post a Comment