![]() |
| Kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga August 01,2015 imepigwa mechi ya Fainali ya Super Cup, mchezo huo ulizikutanisha timu za FC Bayern Munchen dhidi ya klabu ya Wolfsburg katika uwanja wa Volkswagen Arena. |
![]() |
| Mchezo umemalizika kwa Wolfsburg kuibuka washindi baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1, hadi dakika ya 88 FC Bayern Munchen walikuwa wanaongoza kwa goli 1-0 goli lililofungwa na Arjen Robben dakika ya 47 ya mchezo kabla ya Nicklas Bendtner kufunga goli la kusawazisha dakika 89 kwa upande wa Wolfsburg. |
![]() |
|
Kevin De Bruyne akiwa na tuzo ya mchezaji
bora wa mwaka
Hivyo
ikalazimika kupigwa mikwaju ya penati ambapo Wolfsburg
wakaibuka na ushindi kwa jumla ya penati 5-4 kwa upande wa FC Bayern
Munchen kiungo wa Kihispania Xabi
Alonso alikosa penati. Sambamba na hayo kiungo wa kimataifa wa
Ubeligiji Kevin De Bruyne
alipata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka inayotolewa na waandishi wa habari za
michezo Ujerumani...Habari kwa Hisani ya MILLARDAYO.COM
|











![]() |









No comments:
Post a Comment