UJIO WA RAIS OBAMA KENYA:-Umeibua ubunifu wa kipekee nchini Kenya… ..Tazama Picha Hapa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2015

UJIO WA RAIS OBAMA KENYA:-Umeibua ubunifu wa kipekee nchini Kenya… ..Tazama Picha Hapa.

Tazama mwenye basi hili la uchukuzi alivyolipamba kwa bendera ya Marekani na mchoro wa Rais Obama.

 Huku hayo yakijiri, hali ya usalama imeimarishwa vilivyo katika mji wa Nairobi na viunga vyake na hasala maeneo yanayotarajiwa kuwa mwenyeji wa rais Obama.

Helikopta 4 za kijeshi za Marekani zilipaa juu ya mji wa Nairobi na kisha kutua katika chuo kikuu cha Kenyatta lililoko viungani mwa jiji hilo.Rais wa Kenya ,Bw.Uhuru Kenyatta anataraji kumpokea Rais Obama siku ya Ijumaa wiki hii.
Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad