![]() |
|
Mkutano wa kura za maoni CHADEMA nafasi ya
Ubunge umefanyika hii leo July 23, 2015 katika Mjini wa Rulenge ambapo Wapiga
kura walikuwa ni -256 , kura
zilizoharibika ni 1 . Watia Nia CHADEMA Ubunge Jimbo la Ngara.
Dr.Pitter Bujari kura 230 .
Bw.Lingston Kasomwa kura 19 .
Na. Bw.David Kibenza kura 6.
BOFYA HAPA KUPATA RATIBA YA KURA YA MAONI, MAJIMBO YA KANDA ZOTE-CHADEMA.Aidha Jina la mshindi Dr.Bujari litapelekwa Kamati tendaji ya CHADEMA ya wilaya na kasha Baraza kuu la Taifa kupitishwa kasha kutangazwa rasmi kupitia Chama hicho ili kuwania Ubunge wa Jimbo la Ngara kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu .
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Thursday, July 23, 2015
Home
SIASA
MATOKEO YA KURA YA MAONI NA RATIBA 2015:-Ni Nafasi ya Ubunge ya CHADEMA Jimbo la Ngara haya Hapa.
MATOKEO YA KURA YA MAONI NA RATIBA 2015:-Ni Nafasi ya Ubunge ya CHADEMA Jimbo la Ngara haya Hapa.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment