![]() |
|
Mbunge wa
sasa,Ndugu Deogratius Ntukamazima ambaye
amesema kwamba hata gombea tena Ubunge wa jimbo la Ngara akihitaji kupumzika
kutokana na kulitumikia taifa kwa muda mrefu.
Katika
mkutano huo,Jumuiya
ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi, UWT wilayani Ngara Mkoani Kagera ilifanya
Uchaguzi wa Kuwapata Madiwani wa Viti Maalum ambapo wanawake 7 wameshinda
kwenye Uchaguzi huo kati ya 14 waliokuwa wakigombea.
Akitangaza
matokeo ya Uchaguzi huo Katibu wa CCM wilayani Ngara Bw Jacob Makune amewataja
walioshinda kuwa ni Bi Catherine Edward kutoka Tarafa ya Murusagamba, Bi.Georgia
Mnyonyela wa Tarafa ya Nyamiaga, Bi.Suzana Bahati wa Tarafa ya Rulenge pamoja na
Bi Oliver Bugoke kupitia Tarafa ya Kanazi
Katibu huyo
wa CCM wilayani Ngara amesema Waliopata nafasi hiyo kwa upande wa Kapu ni Bi
Rehema Sadick, Bi.Zawadi Cosmas na Bi Vaileth Vedasto
Bw Makune
amewataka madiwani hao kuhakikisha wanashirikiana na wagombea Udiwani kupitia
Chama hicho ili wapate ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu kwa
ajili ya kuwatumikia wakazi wa wilaya ya Ngara.
Source:-Radio Kwizera FM.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Thursday, July 23, 2015
Home
HABARI
KURA ZA MAONI CCM - NGARA 2015:-Hawa hapa 7 kati ya 14 wakipitishwa Udiwani Viti Maalum CCM wilaya ya Ngara,mkoani Kagera.
KURA ZA MAONI CCM - NGARA 2015:-Hawa hapa 7 kati ya 14 wakipitishwa Udiwani Viti Maalum CCM wilaya ya Ngara,mkoani Kagera.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment