MAENDELEO YETU:- Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu 2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 01, 2015

MAENDELEO YETU:- Dkt. Magufuli akagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni-Kukamilika mwezi wa Tisa mwaka huu 2015.

Sehemu ya Katikati ya Daraja la  Kigamboni kama inavyoonekana. Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Ujenzi.

Taswira ya mbele ya Daraja la Kigamboni ambalo linatajajiwa kumamilika mwezi wa Tisa.

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) akifanya ukaguzi katika mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Hifadhii ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau. Mradi wa Ujenzi wa Daraja hilo umefikia Asilimia 85, na unatarajiwa kukamilika mwezi wa tisa mwaka huu.

Kazi za Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukiendelea kwa kasi
 Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad