DIVAS PARTY GALA:-Inakupa Fursa Mjasiriamali wa Kike kuelimisha, kuuza au kusaidia jamii ...Shiriki sasa kwa Kusoma Hapa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2015

DIVAS PARTY GALA:-Inakupa Fursa Mjasiriamali wa Kike kuelimisha, kuuza au kusaidia jamii ...Shiriki sasa kwa Kusoma Hapa.

Itafanyika tarehe 30,2015 katika Hotel ya Serena Dar es Salaam na unakaribishwa mdau kutoka kokote kule kushiriki,sambamba na Wanawake kununua ticket na Wanaume kuwanunulia wake zenu ticket ili tujumuike kwa pamoja.

 Na mwenye biashara yake achukue meza au mwenye ofisi yake microfinance au aenahitaji kuelimisha , kuuza au kusaidia jamii anakaribishwa.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad