AJALI / PICHA:-Taswira Picha ya basi la KIDIA ONE lilipoanguka Mtaroni eneo la Buhongwa Mwanza asubuhi ya leo July 22,2015..Chanzo kumkwepa Mwendesha Pikipiki. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2015

AJALI / PICHA:-Taswira Picha ya basi la KIDIA ONE lilipoanguka Mtaroni eneo la Buhongwa Mwanza asubuhi ya leo July 22,2015..Chanzo kumkwepa Mwendesha Pikipiki.


Muonekano wa Basi la KIDIA ONE lenye namba za usajili T 449 ASZ likiwa limeanguka mtaroni leo July 22, 2015,majira ya asubuhi eneo la Buhongwa Jijini Mwanza ,likiwa katika safari ya kuelekea Jijini Dar es Salaam,baada ya kuchepuka kutoka barabarani  wakati Dereva wa basi hilo alipokuwa akimkwepa Mwendesha Pikipiki.

Hakuna madhara makubwa yaliyoripotiwa kutokea kwa abiria zaidi ya kuleta majeruhi kwa Dereva wa basi hilo  na kioo cha nyuma ya Dereva kupasuka.





Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad