BREAKING NEWS:-Lori la Mawe laangukia basi la Kisesa na kuliharibu,wilayani Nzega mkoani Tabora. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 29, 2015

BREAKING NEWS:-Lori la Mawe laangukia basi la Kisesa na kuliharibu,wilayani Nzega mkoani Tabora.

Pichani juu na chini ni Muonekano wa basi la Kisesa likiwa limeharibika upande wa buti ya kuhifadhia Mizigo baada ya Lori la Mawe kuliangukia  basi hilo  katika ajali iliyotokea leo July 29, 2015 eneo la Uchama ,Nzega ndogo wilayani Nzega mkoani Tabora.
 Mawe yakiwa yamemwagika chini huku Lori nalo lenye namba za usajili T 616 BNZ likiwa limeangukia Basi la Kisesa ambalo lilikuwa safarini kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam na taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa Abiria wote wako salama......Picha zote na Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad