BREAKIN NEWS:-Basi la SIMIYU EXPRESS lapata ajali mkoani Dodoma leo July 22, 2015 na kuua Watu 8 na Kujeruhi 48. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2015

BREAKIN NEWS:-Basi la SIMIYU EXPRESS lapata ajali mkoani Dodoma leo July 22, 2015 na kuua Watu 8 na Kujeruhi 48.

Taarifa za mwanzo kutoka mkoani Dodoma zinasema kuwa Basi la SIMIYU EXPRESS limepata ajali eneo la Chalinze - Mbande mkoani Dodoma Jioni ya leo July 22, 2015 na Abiria takribani 8 wamefariki dunia, huku zaidi ya abiria 40 wamejeruhiwa  baada ya basi hilo walilokua wakisafiria kutoka Jijini Mwanza kwenda Dar es Salaam kupasuka tairi la mbele kushoto na kupoteza uelekeo na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.



Pichani ni muonekano wa basi hilo la SIMIYU EXPRESS likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali .

Baadhi ya majeruhi ambapo wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad