KLABU 10 BORA TAJIRI DUNIANI:- Ni Real Madrid,FC Barcelona na Manchester Uinited. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, May 07, 2015

KLABU 10 BORA TAJIRI DUNIANI:- Ni Real Madrid,FC Barcelona na Manchester Uinited.

Mabingwa wa Ulaya, Real Madrid, ndio Klabu yenye thamani kubwa Duniani kwa Mwaka wa Tatu mfululizo kwa mujibu wa utafiti wa Forbes, Magwiji wa Mahesabu Duniani.

 Licha ya Thamani ya Real kuporomoka kwa Asilimia 5 na kufikia Dola Bilioni 3.26, Mapato yao ya Dola Milioni 746 yamewaweka Nambari Wani.

Kwenye 20 Bora, Klabu 8 zinatoka Ligi Kuu Uingereza wakati Serie A ina Timu 4 ingawa ya juu kabisa ipo Nafasi ya 9.

Forbes wamesema Klabu za Italy zimeathirika Kibiashara Duniani kutokana na Skandali za Upangaji Matokeo Mechi, Viwanja vibovu na vya kizamani, Madeni na kuporomoka kwa Vipaji vya Wachezaji wao.

TIMU 10 ZENYE THAMANI ($ NI MABILIONI).


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


Rank Team Current Value ($mil) 1-Yr Value Change (%) Debt/Value
(%)
Revenue ($mil) Operating Income ($mil)
1

Real Madrid

3,263 -5 4 746 170
2

Barcelona

3,163 -1 3 657 174
3

Manchester United

3,104 10 20 703 211
4

Bayern Munich

2,347 27 0 661 78
5

Manchester City

1,375 59 0 562 122
6

Chelsea

1,370 58 0 526 83
7

Arsenal

1,307 -2 30 487 101
8

Liverpool

982 42 10 415 86
9

Juventus

837 -2 9 379 50
10

AC Milan

775 -10 44 339 54
11

Borussia Dortmund

700 17 6 355 55
12

Paris Saint-Germain

634 53 0 643 -1
13

Tottenham Hotspur

600 17 9 293 63
14

Schalke 04

572 -1 0 290 57
15

Inter Milan

439 -9 56 222 -41
16

Atletico de Madrid

436 33 53 231 47
17

Napoli

353 19 0 224 43
18

Newcastle United

349 33 0 210 44
19

West Ham United

309 33 12 186 54
20

Galatasaray

294 -15 17 220 -37

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad