![]() |
|
Mtangazaji Adam Mchomvu alikuwa akiendesha show ya XXL
leo APRIL 6,2015 kwenye U Heard yake akasema inahusu picha aliyopost msanii Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa
Instagram akiwa na mpenzi wake Zari
wakiwa wamevaa nguo nyeupe na kuandika “Wakati
Mwingine Usiri Unabaraka zaidi…. Alhamdulillah”@diamondplatnumz
Post hiyo ilizua
story nyingi ikiwemo watu kuhisi kwamba wawili hao wamefunga ndoa.
Studio alikuwepo
mwanasheria ambae amesema ndoa ni maridhiano kati ya watu wawili na watu
wanapoishi pamoja zaidi ya miezi mitatu ni wanandoa halali.
Ili
kusikiliza story yote bonyeza play hapa chini…BONYEZA LINK HII KUSIKILIZA
Source:-Millardayo.
|
Monday, April 06, 2015
Home
WASANII
FUNUNU NA TETESI:-Picha ya Diamond na Zari… watu kuhisi kwamba wawili hao wamefunga ndoa??
FUNUNU NA TETESI:-Picha ya Diamond na Zari… watu kuhisi kwamba wawili hao wamefunga ndoa??
Tags
# WASANII
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
WASANII
Labels:
WASANII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment