MAFANIKIO YA UCHUNGUZI:-Kumbe Injini kukosa Nishati ya Umeme ndio chanzo cha Ajali ya Ndege ya Trans Asia kuanguka Mtoni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 08, 2015

MAFANIKIO YA UCHUNGUZI:-Kumbe Injini kukosa Nishati ya Umeme ndio chanzo cha Ajali ya Ndege ya Trans Asia kuanguka Mtoni.

Taarifa zilizopatikana kwenye sanduku linalorekodi taarifa za ndege (Black box) la ndege ya shirika la TransAsia iliyoanguka mtoni Jijini Taipei nchini Taiwan zimebainisha injini zake zilikatika umeme..   Wachunguzi wa taarifa za kwenye sanduku hilo muhimu katika ndege wameeleza kuwa injini za ndege hiyo zilishindwa kufanyakazi dakika chache tu baada ya kupaa angani.


Taarifa za katika saduku hilo zinaonyesha marubani walivyo jaribu kuzima na kuwasha upya injini za ndege hiyo bila ya mafanikio. ..Ndege hiyo namba GE235 ilianguka ikiwa na abiria 58 pamoja na watumishi na kuua watu 35, baada ya kuanguka mtoni.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad