ELIMU YETU TANZANIA:-Sasa Alama za ufaulu zatesa wamiliki Shule Binafsi..'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 13, 2015

ELIMU YETU TANZANIA:-Sasa Alama za ufaulu zatesa wamiliki Shule Binafsi..''


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini Tanzania ,Dk Shukuru Kawambwa.



Siku chache baada ya Serikali kusema itazifutia usajili shule zitakazokaidi agizo la kuweka viwango maalumu na tofauti vya ufaulu kutoka kidato kimoja kwenda kingine, wadau wa elimu wamezungumza na kusema agizo hilo linalenga kuua ubora wa taaluma nchini.KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad