|
Daktari
akifanya upasuaji wa uume.Kijana mmoja wa miaka 17 nchini Uingereza amefanyiwa
upasuaji kupunguza uume wake.
Mvulana
mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza
uume wake.
Kijana huyo
wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la
ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba
kupunguzwa uume wake.
Kabla ya
kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi
10.
Daktari wa
upasuaji Surgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha Florida kusini ambaye alifanya
upasuaji huo aliliambia gazeti la mail online kwamba ''kuna wakati ambapo kila
daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalokuwacha kinywa wazi.''Swali hilo
ni Je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo''?.
Kwa wale
waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao haui mkubwa wakati unapodinda bali
huwa mgumu.
Daktari huyo
alisema kwamba wengu hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si
kukipunguza.
Kijana huyo
alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo yake.
Source:-BBC
Swahili.
|
No comments:
Post a Comment