|
Papa Francis
amewachagua makadinali 20 wapya akiwemo kutoka mataifa ya Tonga,Ethiopia na
Myanmar.
Kumi na tano
kati yao wako chini ya umri wa miaka 80,Swala linalowafanya kuingia katika
mkutano faragha ili kumchagua atakayemrithi papa.
Papa Francis
amesema kuwa uteuzi wa makadinali hao kutoka mataifa 14 kutoka kila bara
duniani unaonyesha kuwa uhusiano wa karibu wa Vatican na makanisa ya kikatoliki
kote duniani.
Makadinali
hao wataapishwa rasmi tarehe 14 mwezi February,2015.
Papa Francis
pia alitangaza kuwa siku ya jumapili kwamba ataongoza wa makadinali wote ili
kujadiliana kuhusu usimamizi wa kanisa hilo huko Vatican mnamo tarehe 12,13
februari,2015.
Makadinali
hao wapya ni:-
Manuel Jose
Macario do Nascimento Clemente (portugal)
Berhaneyesus
Demerew Souraphiel (Ethiopia)
John
Atcherley Dew (New Zealand)
Edoardo
Menichelli (Italy)
Pierre
Nguyen Van Nhon (Vietnam)
Alberto
Suarez Inda (Mexico)
Charles
Maung Bo (Myanmar)
Francis Xavier
Kriengsak Kovithavanij (Thailand)
Francesco
Montenegro (Italy).
Daniel
Fernando Sturla Berhouet (Uruguay)
Ricardo
Blazquez Perez (Spain).
Luis Lacunza
Maestrojuan (Panama)
Arlindo
Gomes Furtado, (Capo Verde).
Soane Patita
Paini Mafia (Tonga)
Jose de
Jesus Pimiento RodrÃguez (Colombia)*
Luigi De
Magistris (Italy)*
Karl-Joseph
Rauber (Germany)*
Luis Hector
Villalba (Argentina)*
Julio Duarte
Langa (Mozambique)
Chanzo:-BBC Swahili.
|
No comments:
Post a Comment