TAZAMA PICHA 3:-Ni kuhusu Abiria waendao Mkoani Kigoma kutokea jijini Dar es Salaam, kukwama Wilayani Uvinza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 08, 2015

TAZAMA PICHA 3:-Ni kuhusu Abiria waendao Mkoani Kigoma kutokea jijini Dar es Salaam, kukwama Wilayani Uvinza.

Abiria waendao Mkoani Kigoma kutokea jijini Dar es Salaam, wakiwa wamekwama Wilayani Uvinza mkoani Kigoma,baada ya Treni yao kukwama eneo hilo kufuatia gari moshi la mizigo (Gusi) kukwama katikati ya reli eneo hilo na kusababisha abiria kukwama eneo hilo wakisubiri utaratibu wa kupatiwa usafiri mwingine mchana wa leo Januari 08,2015.


 Abiria wakiwa eneo hilo kusubiri usafiri.

 UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad