PICHA 3 JANUARY 05,2015:-Ni taswira Rais Kikwete akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 05, 2015

PICHA 3 JANUARY 05,2015:-Ni taswira Rais Kikwete akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo January 05,2015 ,mchana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akisaini nyaraka wakati wa hafla fupi ya kumwapisha, George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kwenye hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimkabidhi nyaraka za Serikali, George Mcheche, baada ya kumwapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo January 05,2015,mchana.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad