|
Barbarella
Buchner akiwa na mmoja kati ya waume wake ambao ni paka.
Barbarella
mwenye umri wa miaka 48 ambaye kazi yake ni ubunifu wa tovuti kwenye mtandao wa
internet ameongeza kuwa ana furaha kubwa baada ya kuolewa na paka wake wawili
ambao ameolewa nao .
Mwanamke
huyo alinukuliwa akisema kuwa ‘kuna baadhi ya wanawake wamepangiwa kufanya
usafi kwa ajili ya waume zao na wameridhia kufanya hivyo , kwangu ni tofauti’
alisema Barbarella .
Ameongeza
kuwa haoni shida kuwatumikia paka wake ambao wana majina ya Lugosi na Spider na
siku zote atahakikisha wanaishi kwa furaha kama ndoa inavyohitaji.
Mwanamke
huyu hakuweza kufananua kama moja ya misingi muhimu ya ndoa ‘unyumba’ itahusika
kwenye ndoa yake hiyo na paka wake wawili.
|
No comments:
Post a Comment