REKODI YA DUNIA:-Tazama Picha 3 za Meli kubwa kuliko zote …Ni sawa na Viwanja vine vya Soka. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 08, 2015

REKODI YA DUNIA:-Tazama Picha 3 za Meli kubwa kuliko zote …Ni sawa na Viwanja vine vya Soka.

Meli kubwa kuliko zote duniani iliwasili nchini Uingereza na kuwa kivutio kikubwa.Meli hiyo ya mizigo ina uwezo wa kubeba makontena 19,100 na ukubwa wake ni sawa na viwanja vinne vya kuchezea mpira.

Meli hiyo imesajiliwa Hong Kong na ilitentengenezwa nchini China, ina uwezo wa kubeba tani 57,000 ambao ni uzito mkubwa zaidi unaoweza kuchukuliwa na chombo cha usafiri duniani.

Ilisafiri kwa mwezi mzima kutoka Shanghai China hadi nchini Uingereza.



 UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad