LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Yaliyojiri VPL Januari 31,2015 kwa Simba SC kushinda huku Mtibwa sare na Mbeya City yafungwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 31, 2015

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Yaliyojiri VPL Januari 31,2015 kwa Simba SC kushinda huku Mtibwa sare na Mbeya City yafungwa.

Ligi kuu soka VODACOM Tanzania bara 2014/2015 imeendelea Leo Januari 31,2015 na Jijini Dar es Salaam, Mchezaji raia wa Uganda Dan Sserenkuma ameifungia Simba SC Bao 2 na kuwapa ushindi wa Bao 2-1 walipocheza na JK Ruvu.

Mchezaji raia wa Uganda Dan Sserenkuma katikati  pichani akifurahi na wachezaji wenzake baada ya kuifungia  Simba SC katika  Dakika ya 1 na 48 wakati George Minja aliipa Bao pekee Ruvu JKT katika Dakika ya 19

Mkoani  Morogoro, Bao la Dakika ya 66 la Said Bahanuzi liliwapa ushindi wa Bao 1-0 Polisi Morogoro walipocheza na Mbeya City huku huko Tanga, Mechi kati ya Coastal Union na Mtibwa Sugar ilimalizika 0-0.

Huko Mbeya, Prisons ilitoka Sare ya 1-1 na Kagera Sugar kwa Bao za Nurdin Chona na Rashid Mandawa.

VPL itaendelea Kesho Jumapili Februari 01,2015,Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ambapo Yanga SC watacheza na Ndanda FC na ushindi kwa Yanga SC utawafanya waongoze Ligi.

RATIBA VPL 2014/2015.

Jumapili Februari 1,2015.

Yanga SC v Ndanda FC

Jumatano Februari 41,2015.

Coastal Union v Yanga SC

Jumamosi Februari 71,2015.

Polisi Moro v Azam FC 
               
Ndanda FC v Stand United 
        
Kagera Sugar v Mgambo JKT
                
Prisons v Ruvu Shootings 
          
JKT Ruvu v Mbeya City  
            
Coastal Union v Simba  SC 
            
Jumapili Februari 81,2015.

Yanga SC v Mtibwa Sugar

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

MSIMAMO.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
11
6
3
2
15
8
 
7
21
2
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
 
6
18
3
Yanga
10
5
3
2
12
7
 
5
18
4
Polisi Moro
13
4
6
3
10
9
 
1
18
5
JKT Ruvu
13
5
3
5
13
13
 
0
18
6
Coastal Union
12
4
5
3
10
8
 
2
17
7
Simba
12
3
7
2
13
11
 
2
16
8
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
 
-1
15
9
Mbeya City
12
4
3
5
8
10
 
-2
15
10
Ruvu Shooting
12
4
3
5
7
9
 
-2
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
 
-4
14
12
Ndanda FC
12
4
1
7
12
17
 
-5
13
13
Stand United
12
2
5
5
7
14
 
-7
11
14
Tanzania Prisons
12
1
7
4
9
11
 
-2
10

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad