HABARI ZA UHAKIKA JUU YA SAKATA LA JUMAANNE TEVEZ. Nikweli kwamba huyu
bwana yuko South Africa Pretoria. Bwana Tevez aliodhaminiwa mzigo na vijana
wenzake huko Bondeni kwamba akauze kisha alete Mpunga.
Mdhamini alikuwa ni
Kijana wa Kibongo anayeonekana pichani anayeitwa Jeff Katili mtoto wa Ilala
ambaye maskani yake ni South.
TEVEZ baada ya kuchukua mzigo uliokuwa na thamani
ya takriban milioni mia moja na hamsini (150,000,000/=) aliingia mitini
hakurudi tena. Kilichotokea Jeff baada ya kubanwa na wana akawaambia kuwa
tulieni nitamleta tu.
Basi Jeff akamrubuni Tevez kuwa njoo
Kuna kazi.. Tevez akaingia mzima mzima akaenda hadi Pretoria wiki iliyopita na
kufikia kwa Jeff Katili na kupata mapokezi mazuri kama kawaida.
Baada ya kufika
walitoka kwenda matembezi KWAZULU NATAL... wakiwa huko walifikia kwa washkaji
zao wa kibongo lakini kwenye nyumba ambayo ilikuwa kama holi haina chochote
ndani.
Chini lilitandikwa karatasi la nailoni ili kuepusha damu isitapakae.
Alibanwa juu ya mzigo na mtesaji mkubwa alikuwa Jeff Katili mwenyewe ambaye ni
mdhamini. Tevez hajang'olewa jicho bali alipigwa Ngumi hadi jicho likaenda
ndani... NGUMI YA MTOTO WA KIUME.
Ameteswa sana na amekatwakatwa na
viwembe mwili mzima. Zakari yake haijakatwa kama picha zilivyoonyesha bali
imekatwa na viwembe.
Taarifa zilitumwa kwa kaka yake na akina Jeff na kuwataka
watume pesa la sivyo wanamuua.
Familia kupitia kaka yake imeshatuma pesa nusu
na sas anatibiwa hukohuko South na atarejea punde. Uzushi kuwa amekufa hauna
ukweli na hizi ni habari kamili kutoka kwa watu wa karibu na familia hiyo.
|
No comments:
Post a Comment