AFCON 2015:-Sare sare maua zatawala Mechi zote za January 24, 2015 Pia tazama Ratiba ya Mechi za Jumapili hii Hapa! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, January 25, 2015

AFCON 2015:-Sare sare maua zatawala Mechi zote za January 24, 2015 Pia tazama Ratiba ya Mechi za Jumapili hii Hapa!

Cameroon  dhidi ya  Guinea Pichani ambao nao wametoka bao 1-1 kwenye mchezo wao wa Januari 24,2015 uwanja wa Nuevo Estadio de Malabo.

 Mali wamewalazimisa Vigogo Ivory Coast kutoka Sare 1-1 katika Mechi ya Kundi D la Mashindano ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2015 iliyochezwa Nuevo Estadio de Malabo Mjini Malabo Nchini Equatorial Guinea.

Katika Mechi hiyo, Bakary Sako aliipa Mali Bao katika Dakika ya 7 na Max-Alain Gradel kuiisawazishia Ivory Coast Dakika ya 87.

Matokeo haya yamezifanya timu zote za Kundi hili la D, Cameroon,Guinea,Ivory Coast, na Mali kuwa na Pointi 2 kila mmoja baada ya Mechi zao mbili .

AFCON 2015 -RATIBA/MATOKEO.

Jumatano Januari 21,2015.

KUNDI A

Equatorial Guinea 0 – 0 Burkina Faso   
                
Gabon 0 – 1 Congo   
           
Alhamisi Januari 22,2015.

KUNDI B

Zambia 1 – 2 Tunisia  

Cape Verde Islands 0 – 0 Congo DR 
               
Ijumaa Januari 23,2015.

KUNDI C

Ghana 1 – 0 Algeria  

South Africa 1 – 1 Senegal 
            
Jumamosi Januari 24,2015.

KUNDI D

Côte d'Ivoire 1 – 1 Mali   
  
2200 Cameroon 1 – 1  Guinea 

Jumapili Januari 25,2015.

KUNDI A

2100 Gabon v Equatorial Guinea [Estadio de Bata]      
         
2100 Congo v Burkina Faso [Nuevo Estadio de Ebebiyín]   
  
Jumatatu Januari 26,2015.

KUNDI B

2100 Congo DR v Tunisia [Estadio de Bata]     
          
2100 Cape Verde Islands v Zambia [Nuevo Estadio de Ebebiyín]  
             
Jumanne Januari 27,2015.

KUNDI C

2100 South Africa v Ghana [Estadio de Mongomo]   

2100 Senegal v Algeria [Nuevo Estadio de Malabo]   

Jumatano Januari 28,2015.

KUNDI D

2100 Cameroon v Côte d'Ivoire [Nuevo Estadio de Malabo]  
          
2100 Guinea v Mali [Estadio de Mongomo]   
            
ROBO FAINALI

Jumamosi Januari 31,2015.

1900 Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B [Estadio de Bata]=RF1    

2200 Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A [Nuevo Estadio de Ebebiyín]=RF2

Jumapili Februari 1,2015.

1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D [Estadio de Mongomo]=RF3 
     
2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C [Nuevo Estadio de Malabo]=RF4

NUSU FAINALI

Jumatano Februari 4,2015.

2200 RF 1 v RF4 [Estadio de Bata]=NF1

Alhamisi Februari 5,2015.

2200 RF2 v RF3 [Nuevo Estadio de Malabo]=NF2  
    
MSHINDI WA 3

Jumamosi Februari 7,2015.

2100 Aliefungwa NF1 v Aliefungwa NF2 [Nuevo Estadio de Malabo]

FAINALI

Jumapili Februari 8,2015.

2200 Mshindi NF1 v Mshindi NF2 [Estadio de Bata]   

++++++++++++++++++++++++++++
VIWANJA:
-Estadio de Bata, Mjini Bata, Watazamaji 37,500
-Nuevo Estadio de Malabo, Malabo, Watazamaji 15,250
-Estadio de Mongomo, Mongomo, Watazamaji 10,000
-Nuevo Estadio de Ebebiyín, Ebebiyin, Watazamaji 5,000
 
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad