UJUAJI MWINGI:-Tazama Picha Jinsi Lori likiba njia eneo la Kabanga Ngara kisa Mautundu ya Dereva. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 31, 2014

UJUAJI MWINGI:-Tazama Picha Jinsi Lori likiba njia eneo la Kabanga Ngara kisa Mautundu ya Dereva.

Muonekano wa Lori lililoziba njia jana Desemba 30,2014 majira ya saa 8 mchana kwa muda eneo la Tumaini Letu,Kabanga,Ngara katika barabara kuu iendayo nchini Burundi, baada ya dereva kulazimisha kuligeuza ili lirudi maeneo ya custom Kabanga na hatimaye kukwama na kuziba barabara.





UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad