SAKATA LA ESCROW TANZANIA:-CCM Wakutana kumjadili PROF ANNA TIBAIJUKA. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 31, 2014

SAKATA LA ESCROW TANZANIA:-CCM Wakutana kumjadili PROF ANNA TIBAIJUKA.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Philip Mangula amesema kuwa kikao cha kamati kuu kinachoundwa na wajumbe 14 (7 kutoka kila upande wa muungano) kimeitishwa kujadili hatima ya mmoja wa wajumbe wa kikao hicho Prof Anna Tibaijuka (Pichani).

Kikao hicho kitaamua hatma yake ikiwemo ama kubakizwa katika kamati hiyo,kufukuzwa au kunyanganywa kadi na kufukuzwa kabisa katika chama kutokana na sakata la Escrow ambapo yeye alipata mgao kutoka kwa mmoja wa wabia wa kampuni ya IPTL, James Rugemalira.

Hapa chini Tunakuletea majina na picha za wajumbe wanaokutana gafla kumjadili Prof Tibaijuka MAJINA YA WAJUMBE WENGINE 13 NI KAMA IFUATAVYO.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
 













No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad