LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Dimbani Desemba 26 Simba na Kagera Sugar kisha Azam FC v Yanga Jumapili. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, December 26, 2014

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Dimbani Desemba 26 Simba na Kagera Sugar kisha Azam FC v Yanga Jumapili.

Ligi kuu soka Vodacom Tanzania Bara 2014/2015, ambayo ilisimama baada ya kila Timu kucheza Mechi 7, inarejea dimbani leo Ijumaa Desemba 26,2014 kwa Mechi moja Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ambapo Simba SC watacheza na Kagera Sugar.

Simba SC wapo Nafasi ya 7 wakiwa na Pointi 9 wakati Kagera Sugar wapo Nafasi ya 5 wakiwa na Pointi 10.

Kinara wa Ligi ni Mtibwa Sugar ambao wana Pointi 15 wakifuatiwa na Yanga SC wenye Pointi 13 na kisha Azam FC wenye pia Pointi 13.

Jumamosi Desemba 27,2014 zitachezwa Mechi 3 za Ligi wakati Jumapili Desemba 28,2014 pia zipo Mechi 3 ikiwemo ile Bigi Mechi ambapo Mabingwa Watetezi Azam FC watawavaa  Yanga SC.

Nao Kagera Sugar wametua Jijini Dar es Salaam Siku kadhaa nyuma wakiongozwa na Kocha wao Mrage Kabange ambae ametabiri Mechi kuwa ngumu kwao hasa kwa vile Simba SC kujiimarisha kwenye Dirisha dogo la Uhamisho.

Simba SC nao chini ya Kocha Patrick Phiri wamerejea Jijini baada ya kupiga Kambi ya Mazoezi huko Zanzibar.

RATIBA LIGI KUU VODACOM.

Jumamosi Desemba 27,2014.

Mtibwa Sugar v Stand United    
           
Prisons v Coastal Union 
            
JKT Ruvu v Ruvu Shootings

Jumapili Desemba 28,2014.

Mbeya City v Ndanda FC  
          
Polisi Moro v Mgambo JKT     
     
Yanga v Azam FC  
           
MSIMAMO VPL 2014/2015.
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mtibwa Sugar
7
4
3
0
10
3
7
15
2
Yanga
7
4
1
2
9
4
4
13
3
Azam FC
7
4
1
2
8
4
4
13
4
Coastal Union
7
3
2
2
8
6
2
11
5
Kagera Sugar
7
2
4
1
5
3
1
10
6
JKT Ruvu
7
3
1
3
7
7
0
10
7
Simba
7
1
6
0
7
6
1
9
8
Polisi Moro
7
3
2
2
6
7
-1
9
9
Mgambo JKT
7
3
0
4
4
7
-3
9
10
Stand United
7
2
3
2
5
9
-4
9
11
Ruvu Shooting
7
2
1
4
4
7
-3
7
12
Tanzania Prisons
7
1
3
3
5
6
-1
6
13
Ndanda FC
7
2
0
5
8
12
-4
6
14
Mbeya City
7
1
2
4
3
5
-2
5
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad