KALI YA FUNGA MWAKA 2014:-Picha 3 za Kunguru kapozi bila woga mbele ya Kijiwe huku mmiliki wake akiwajibika kazi eneo la Stand Mjini Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 22, 2014

KALI YA FUNGA MWAKA 2014:-Picha 3 za Kunguru kapozi bila woga mbele ya Kijiwe huku mmiliki wake akiwajibika kazi eneo la Stand Mjini Ngara.

Kunguru huyo alikutwa na camera yetu leo Desemba 22,2014 majira ya asubuhi katika eneo la stand mjini Ngara  ambapo alionekana hana wasi wasi na mmiliki wake wakiwa kazini.

Pichani juu na chini ni  Kunguru hapa akipozi bila woga huku akishuhudia mmilikiwake akiwajibika kibaruani.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad