Mourinho points to the referee's assistant still angry over the Bardsley
tackle katika mchezo huo wa Ligi kuu Uingereza msimu wa 2014/2015 hapo Jana
Desemba 22,2014 huko Britannia Stadium ambapo Chelsea waliifunga Stoke City Bao
2-0 na kupaa kileleni mwa Ligi Kuu wakiwa Pointi 3 mbele ya Mabingwa Watetezi
Manchester City.
Bao za Chelsea zilifungwa Dakika ya Pili kwa Kichwa cha Nahodha wao John
Tery na Cesc Fabregas katika Dakika ya 78.
Sasa Ligi inaingia kipindi kigumu cha Mechi mfululizo kuanzia Desemba 26,2014
hadi Januari Mosi,2015.
|
No comments:
Post a Comment