VIDEO / PICHA:-Sikuvuruga Mdahalo wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere November 02,2014.....Asema Paul Makonda. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Tuesday, November 04, 2014

VIDEO / PICHA:-Sikuvuruga Mdahalo wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere November 02,2014.....Asema Paul Makonda.

Katibu Mwenezi Idara ya Hamasa na Chipukizi ya UVCCM, Bw.Paul Makonda, amekana kuhusika katika vurugu zilizotokea November 02, 2014, katika mdahalo wa Katiba Iliyopendekezwa ambao ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Joseph Butiku.

 Bw.Makonda akiendelea kuelezea kuwa anasikitishwa na vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii iliyomzulia kwamba yeye ndieye aliyesababisha vurugu wakati siyo. 

Pia amelaani watu wote waliosababisha vurugu hizo kwamba kitendo hizho kinadhoofisha demokrasia nchini.

Katibu wa Uhamasishaji Umoja wa Vijana wa CCM,Bw. Paul Makonda akionesha kwenye simu yake picha ya video iliyopigwa wakati wa vurugu zilizotokea wakati wa mdahalo wa kujadili rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza November 02, 2014, ambapo Makonda aliyedaiwa kumpiga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu wa zamani Jaji mstaafu Joseph Warioba, amekanusha kumpiga hapo jana November 03, 2014, katika mkutano wa waandishi wa habari, Dar es Salaam. 

Pia Makonda amesema kuwa hawezi kabisa kudiriki kumpiga kwani anamheshimu kama Baba yake Mzazi. 
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

Copy n Win at: http://bit.ly/copyandwin

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad