LIGI KUU BARA 2014/2015:-Tazama Picha 12 ilivyokuwa uwanja wa Kaitaba Yanga SC ikifungwa na Kagera Sugar 1-0 leo November 1, 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 01, 2014

LIGI KUU BARA 2014/2015:-Tazama Picha 12 ilivyokuwa uwanja wa Kaitaba Yanga SC ikifungwa na Kagera Sugar 1-0 leo November 1, 2014.

Miche hii ya Ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 imechezwa leo November 1, 2014,Jioni Kaitaba, Bukoba, Kager Sugar iliifunga Yanga Bao 1-0 kwa Bao la Paul Ngway la Dakika ya 52 na Yanga kumaliza Mechi hii wakiwa Mtu 10 baada Nahodha wao, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu kwa tuhuma za kucheza vibaya.








Picha zote Na:-Harakatinews Blog.......Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


MSIMAMO VPL 2014/2015.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mtibwa Sugar
6
4
2
0
9
2
7
14
2
Coastal Union
6
3
2
1
7
4
3
11
3
Azam FC
6
3
1
2
6
3
3
10
4
Yanga
6
3
1
2
7
5
2
10
5
Kagera Sugar
6
2
3
1
4
2
1
9
6
Tanzania Prisons
6
2
2
2
6
5
1
8
7
JKT Ruvu
6
2
1
3
5
7
-2
7
8
Ruvu Shooting
6
2
1
3
4
6
-2
7
9
Mgambo JKT
5
2
0
3
2
4
-2
6
10
Simba
6
0
6
0
6
6
0
6
11
Mbeya City
5
1
2
2
1
2
-1
5
12
Stand United
6
1
2
3
3
9
-6
5
13
Ndanda FC
6
2
0
4
8
10
-2
3
14
Polisi Moro
6
2
2
2
5
7
-2
3


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad