HABARI PICHA:-Hivi ndivyo mwili wa aliyekuwa rais wa Zambia,Michael Sata ulivyopokelewa....Mazishi ni November 11,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 03, 2014

HABARI PICHA:-Hivi ndivyo mwili wa aliyekuwa rais wa Zambia,Michael Sata ulivyopokelewa....Mazishi ni November 11,2014.

Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili Zambia tayari kwa mazishi ambayo yamepangwa kufanyika November 11,2014.

 Mwili wa rais huyo umewasili uwanja wa ndege wa Kenneth Kaunda International Airport na kupelekwa Mulungushi International Conference Centre kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine zilizopangwa na Serikali ya nchi hiyo kufanyika kabla ya mazishi.

Hizi ni picha 10 zikionyesha namna mapokezi yalivyokuwa katika jiji la Lusaka siku ya  Novemba 01,2014.









Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
 
Picha Na:- The Zambian Analyst

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad