NYOTA KIBAO:- Tazama Watu maarufu 11 walivyoitazama FC Barcelona Ikichapwa 3-2 na PSG Septemba 30,2014 katika UEFA 2014/2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 01, 2014

NYOTA KIBAO:- Tazama Watu maarufu 11 walivyoitazama FC Barcelona Ikichapwa 3-2 na PSG Septemba 30,2014 katika UEFA 2014/2015.

Kiungo wa zamani wa Paris Saint Germain, David Beckham alikuwa ni miongoni wa orodha ya mastaa walioangalia mechi baina ya Paris Saint German na Barcelona jana Septemba 30,2014,usiku, iliyoisha kwa Barcelona kulala kwa mabao 3-2.


Beckham aliyemalizia soka lake kwa kucheza kwa muda mfupi na Paris Saint Germain mnamo mwaka 2013, alikuwa amekaa na nyota wa muziki Jay Z pamoja na mkewe Beyonce katika viti vya bei mbaya.

Beckham akiteta jambo na Jay Z
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad