LA LIGA 2014/2015:-Cheki Ronaldo, Messi na Neymar walivyoziongoza Timu zao Kupata Ushindi mnono katika Mechi za Ligi October 18, 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 19, 2014

LA LIGA 2014/2015:-Cheki Ronaldo, Messi na Neymar walivyoziongoza Timu zao Kupata Ushindi mnono katika Mechi za Ligi October 18, 2014.


Timu ya Real Madrid wamebamiza Bao 5-0 katika Mechi ya La Liga hapo jana October 18, 2014,walipoishinda Levante.

 Hapo Oktoba 5,2014, kabla La Liga haijapisha Mechi za Kimataifa, Real Madrid iliichapa Athletic Bilbao na Mchezaji Bora Duniani Cristiano Ronaldo kupiga Hetitriki.

Katika mechi hiyo, Ronaldo aliongoza tena timu yake kwa kufunga Bao 2, moja kwa Penati katika dakika ya 13 na 61,na nyingine kupachikwa na Javier Hernandez ‘Chicharito’dakika ya 38, James Rodriguez dakika ya 66 na Isco dakika ya 82.

Ushindi huu umewafanya Real Madrid  wakamate Nafasi ya Pili, Pointi 4 nyuma ya Vinara FC Barcelona ambao nao wameshinda Mechi yao kwa bao 3-0 dhidi ya Eibar na kufikisha Pointi 22 kileleni.



Nao Vinara FC Barcelona wakicheza dhidi ya SD Eibar na kuwanikiwa kuitandika bao 3-0 kwa bao za Xavi Hernandez dk 60,Neymar dk 72 na Lionel Mess dk 74 na kuwafanya wazidi kujikita Zaidi kileleni mwa msimamo wakifikisha Pointi 22.

Jumapili Oktoba 19,2014.

1300 Atletico de Madrid v RCD Espanyol

1800 Deportivo La Coruna v Valencia

2000 Elche CF v Sevilla FC

2200 Villarreal CF v UD Almeria

Jumatatu Oktoba 20,2014.

2145 Real Sociedad v Getafe CF


League Table La Liga 2014/2015.

Position Team Played Goal Difference Points
No movement 1 Barcelona 8 22 22
Moving up 2 Real Madrid 8 21 18
Moving down 3 Valencia 7 13 17
Moving down 4 Sevilla 7 5 16
No movement 5 Atl Madrid 7 5 14
No movement 6 Celta de Vigo 8 2 13
Moving up 7 Málaga 8 -1 12
Moving down 8 Villarreal 7 3 11
Moving down 9 Rayo Vallecano 8 -1 11
Moving down 10 Espanyol 7 1 9
No movement 11 Almería 7 0 9
Moving down 12 Eibar 8 -2 9
No movement 13 Granada CF 8 -7 8
No movement 14 Getafe 7 -7 7
No movement 15 Real Sociedad 7 -3 5
Moving up 16 Ath Bilbao 8 -7 5
Moving down 17 Elche 7 -9 5
Moving down 18 Levante 8 -16 5
No movement 19 Córdoba 8 -8 4
No movement 20 Deportivo de La Coruña 7 -11 4

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad