HARAKATI ZA SIASA TANZANIA:-Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alivyo kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo wilayani Tanga Mjini Octoba 03,2014.. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 04, 2014

HARAKATI ZA SIASA TANZANIA:-Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alivyo kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo wilayani Tanga Mjini Octoba 03,2014..

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuezeka ofisi ya CCM kata ya Marungu, Wilaya ya Tanga mjini Octoba 03,2014,ambapo ameshiriki kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi za wanachama wa CUF na Chadema wa kata ya Marungu walioamua kurudi CCM,zaidi ya wanachama 60.
Wasanii wa Tanga All Star wakionyesha ujuzi wa kuimba na kucheza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Oktoba 03,2014.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad