HARAKATI ZA SIASA TANZANIA:-Cheki Maelfu ya Wakazi wa Tunduru na Mapokezi yao kwa Prof Lipumba wa CUF. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 04, 2014

HARAKATI ZA SIASA TANZANIA:-Cheki Maelfu ya Wakazi wa Tunduru na Mapokezi yao kwa Prof Lipumba wa CUF.

 Huu ni umati wa watu waliojipanga barabarani kumpokea Prof Ibrahim Lipumba alipo wasili Wilayani Tunduru akitokea Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Oktoba 03,2014.

Prof.Lipumba yupo Mikoa ya Kusini inayojumuisha Ruvuma,Lindi na Mtwara  kwa  ziara ya siku 16 ikiwa na dhumuni la kuimarisha chama pamoja kuhamasisha wananchi  kujitokeza  katika daftari  la  wapiga  kura na vitambulisho  vya  taifa.
Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba.
Wakazi wa Tunduru ambao ni wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa katika msafara wa Mwenyekiti wa chama  hicho,Prof Ibrahim Lipumba ,Oktoba 03,2014.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad